Component 3: Urban Water Supply

Overview of PIM Processes for Component 3 (WSDP Phase 2)


 1. Outline of Component 3
 2. Overall Objective:

  The overall objective of the Urban Water Supply and Sanitation component is improved and sustained quality and quantity of water supply and sanitation services for urban populations managed by financially autonomous and commercially viable Urban Water and Sanitation Authorities (UWSAs) while providing efficient and cost-effective services.

  Specific objectives include:

  1. Households, businesses and institutions connected with 24 hours water supply services;
  2. WSSAs are able to finance operation and maintenance costs for sustainability of infrastructure, assets and services; and operating costs minimized;
  3. WSSAs are able to finance a significant part of their new investments from loans; and have improved sewerage systems as part of an overall sanitation strategy for each town;
  4. Appropriate lifeline tariffs as per National Water Policy directions are set, and free water using agreed criteria is provided to the most poor;
  5. Good customer relations are established and operational;
  6. Non-Revenue Water (NRW) is significantly reduced;
  7. Modern billing systems as a prudent measure to improve billed revenue collections are used in all WSSAs

 3. Characteristics of PIM documents
 4. Programme Implementation Manual (PIM) is the operational guideline for Implementing Agencies (IAs) elaborating the institutional arrangement of WSDP, which includes procurement, disbursement of funds, financial management, environmental and social management, monitoring and evaluation, and consists of the main document, volumes and annexes. The main document explains the outline of WSDP implementation framework including strategies, focuses/emphasis and components. Annexes are the daily reference manuals for Implementing Agencies (IAs) so that staff of IAs shall extract the appropriate information from Annexes and carry out activities administratively required in WSDP by following the guidance/procedures explained in these Processes.


Mtazamo wa Mchakato wa PIM kwa ajili ya sehemu ya 3 ya (WSDP awamu ya 2)


 1. Utangulizi wa sehemu ya 3
 2. Lengo kuu:

  Lengo kuu na Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira Mjini ni kuboresha na kudumisha ubora na kiwango cha usambazaji na usafi wa mazingira ya watu mijini inayosimamiwa kifedha na mamlaka huru za maji na usafi wa mazingira mijini zinazojitegemea kibiashara (UWSAs) katika kutoa huduma inayojitosheleza kwa ufanisi na garama nafuu.

  Malengo mahususi ni pamoja na:

  1. Kaya, biashara na taasisi zilizounganishwa na huduma ya usambazaji maji masaa 24 ;
  2. WSSAs zina uwezo wa kugharamia uendeshaji na gharama za matengenezo kwa ajili ya uendelevu wa miundombinu, mali na huduma; nakupunguza gharama za uendeshaji;
  3. WSSAs zina uwezo wa kugharamia sehemu kubwa ya uwekezaji wao mpya kutoka kwenye mikopo; na kuboresha mifumo ya maji taka kama sehemu ya mkakati wa jumla wa usafi wa mazingira kwa kila mji;
  4. Utozaji sahihi wa ushuru kwakufuata maelekezo Sera ya Taifa ya Maji , na kukubaliana vigezo vya kutoa maji bure kwa watu masikini/wasiojiweza kabisa;
  5. Kuanzisha na kutekeleza mahusiano bora na wateja;
  6. Kupunguza kiwango cha maji yasiyolipiwa;
  7. Mfumo wa kisasa wa kukusanya maduhuli kama njia ya kuboresha mapato yanayokusanya unaanza kutumiwa na Mamlaka (WSSAs)

 3. Tabia za nyaraka za PIM
 4. Mwongozo wa utekelezaji (PIM) ni mwongozo wa kazi kwa taasisi za Utekelezaji (IAS) unaofafanua mpangilio wa kitaasisi wa WSDP, inahusisha maswala ya ununuzi, utoaji wa fedha, usimamizi wa fedha, usimamizi wa mazingira na kijamii, ufuatiliaji na tathmini, na umegawanyika katika nyaraka kuu na viambatisho.
  Nyaraka kuu zinafafanua mfumo na muhtasari wa utekelezaji wa WSDP, ikiwa ni pamoja na mikakati, inayolenga /na kutia mkazo katika vipengele vyake. Viambatisho vyake ni miongozo rejea ya kila siku kwa ajili ya taasisi za Utekelezaji (IAS) ili wafanyakazi wa taasisi hizowaweze kupata taarifa sahihi kutoka viambatisho na kutekeleza shughuli kiutawala zinazohitajika katika WSDP kwa kufuata mwongozo / taratibu sahihi zilizoelezewa katika michakato huo.


Please select the language you prefer to access the administrative processes to be followed for the implementation of a urban water supply projects and capacity development.

WSSA

English                                                                    Kiswahili